Uzinduzi wa siku ya msanii Wasanii wa Bongo Wasanii mbali mbali na wadau wa sanaa wamejitokeza jana katika siku ya kuzindua rasmi mchakato kuelekea siku ya msanii itakayofanyika Oktoba 29, kwenye ukumbi wa Alliance Francaise Upanga. Read more about Uzinduzi wa siku ya msanii