Farid kusubiri mazungumzo ya Tenerife na Azam FC Mshambuliaji Farid Mussa Malick anatarajia kuwasili nchini siku yoyote kuanzia leo hii akitokea nchini Hispania alipokuwa akifanya majaribio katika klabu ya Tenerife ya nchini humo. Read more about Farid kusubiri mazungumzo ya Tenerife na Azam FC