Mbunge Richard Ndassa alia na nauli za ndege. Mbunge wa Jimbo la Sumve Mkoani Mwanza Richard Ndassa (CCM) amehoji Bungeni kwamba ni nani anayesimamia upangaji wa nauli za ndege kwa kampuni binafsi hapa nchini kwamba zinatoza kiwango kikubwa sana. Read more about Mbunge Richard Ndassa alia na nauli za ndege.