Rais wa Brazil asimamishwa kazi Rais wa Brazili Bi Rousseff Rais wa Brazili Bi Rousseff amesimamishwa kazi na Bunge la Seneti baada ya kupigiwa kura ya maoni na kuamua kuidhinisha kutokuwa na imani dhidi ya kiongozi mkuu wa taifa hilo Dilma Rousseff. Read more about Rais wa Brazil asimamishwa kazi