GEST inayodhaniwa kuwa danguro yakaguliwa Manzese
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Ally Salum Hapi amewataka maofisa usalama katika wilaya yake kuchukua hatua mara moja ya kuimarisha ulinzi katika maeneo ya Manzese ambako kuna lalamikiwa na wananchi kwa kukidhiri ualifu, ubakaji na madadapoa.