Serengeti Boys yatua salama nchini India

Timu ya taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17, Serengeti Boys imetua salama jijini Goa, India kwa ajili michuano maalumu ya soka ya kimataifa kwa vijana (AIFF Youth Cup 2016 U-16) yaliyoandaliwa na Shirikisho la Soka nchini humo (AIFF).

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS