Danny Welbeck nje miezi 9 Mshambuliaji wa Uingereza na klabu ya Arsenal, Danny Welbeck, atakaa nje ya uwanja kwa miezi 9 kufuatia kufanyiwa upasuaji wa goti. Read more about Danny Welbeck nje miezi 9