TANROADS yatakiwa kujiridhisha na mizani- Ngonyani

Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Edwin Ngonyani amewataka Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) kuhakikisha wanajiridhisha na mizani wanazoweka barabarani ili matumizi yake yachukue muda mrefu bila kuharibika.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS