Serikali kuwaunganisha vijana katika Kilimo
Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mhe. Mwigulu Nchemba amesema serikali itaendelea kuwawezesha vijana kwa utaratibu maalum, kujishughulisha na kilimo hususanI vijana watakaonyesha muamko na kilimo kwa kupata mbegu bora ili kuongeza uzalishaji nchini.