Wabunge wa upinzani tafakarini upya - Mrema

Mwenyekiti wa chama Cha TLP, Augustine Lyatonga Mrema amewataka wabunge wa vyama vya upinzani waliosusia vikao vya Bunge la bajeti linaloendelea mjini Dodoma kufuata taratibu za kumuondoa Naibu Spika Mhe. Tulia Ackson na sio kususia vikao vya Bunge.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS