Watanzania waungane kupinga ufisadi
Naibu Mkurugenzi wa mafunzo kutoka chuo cha Diplomasia nchini Dkt.Kitojo Watengere amesema Tanzania imekua ikisuasua kutoka hapa ilipo kwa sasa kwasababu baadhi ya viongozi wamekosa uweledi katika utendaji wa kazi zao.