Mchungaji ashikiliwa kwa kukutwa na meno ya Tembo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Damas Nyanda. Jeshi la Polisi Mkoani Katavi linawashikiliwa watu wawili akiwemo mchungaji wa kanisa la Monrovian mkoani humo baada ya kukutwa na vipande kumi na moja vya meno ya tembo vyenye uzito wa kilo 20.3. Read more about Mchungaji ashikiliwa kwa kukutwa na meno ya Tembo