Mhe. Jafo: Madawati yapatikane kabla ya Juni 30
Naibu Waziri nchi ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Suleiman Jafo amewataka wakuu wa mikoa kuhakikisha wanatekeleza agizo la serikali la kumaliza tatizo la uhaba wa madawati.