Takukuru yabaini kontena 70 za sukari Bandarini

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini Tanzania (Takukuru) imebaini shehena ya tani 1,840 za sukari ambazo zilikuwa zimehifadhiwa kwenye makontena 70 yaliokuwa bandarini kwa takribani zaidi ya miezi mitatu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS