Hatutavumilia Askari kunyanyasa raia-Dr.Husein Waziri wa ulinzi na Jeshi la kujenga taifa Dr.Husein Mwinyi. Serikali imesema kamwe haitamvumilia askari yeyote Yule wa JWTZ anayefanya vitendo vya unyanyasaji wa raia na itaendelea kuwachukulia hatua kadri wanapobainika. Read more about Hatutavumilia Askari kunyanyasa raia-Dr.Husein