Ester Bulaya aomba maji ya mradi wa Nyabehu
Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini kupitia CHADEMA Ester Bulaya ameeleza bungeni kilio cha wananchi wa Bunda ambao wamepitiwa na mradi wa Nyabehu unaotoa maji kutoka ziwa Victoria kwamba wananchi waliopitiwa na mradi huo hawapati maji kwa miaka mingi.