Azam FC yakata rufaa kupinga kukatwa pointi tatu Klabu ya Azam FC imekata rufaa, kupinga uamuzi wa kunyang'anywa pointi tatu katika mchezo wake dhidi ya Mbeya City na pointi hizo kupewa Mbeya City. Read more about Azam FC yakata rufaa kupinga kukatwa pointi tatu