Wabunge watumie lugha isiyoudhi wengine
Mwanasheria na Wakili wa kujitegemea kutoka Kampuni Mawakili CRAX LAW PARTNERS, Majura Magafu amesema viongozi na wabunge ni lazima wazingatie kanuni na sheria za haki za binadamu katika uwasilishaji wa michango yao bungeni.