Kampeni ya usafi yaendelea jijini Dar es Salaam Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wametakiwa kuzingatia usafi wa mazingira ili waweze kuepukana na magonjwa ya mlipuko ambayo yangeweza kuthibitiwa kwa kufanya usafi. Read more about Kampeni ya usafi yaendelea jijini Dar es Salaam