Rufaa dhidi ya Kitilya na wenzake yagonga mwamba
Washtakiwa wa kesi ya kughushi nyaraka na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu kutoka Bank ya Standard ya Uingereza Harry Kitilya, Shose Sinare na Sioi Solomon wameshinda rufaa waliyokatiwa na DPP.