Wafanyabiashara Mawasiliano waomba mpangilio mzuri
Wafanyabiashara wa soko jipya la Sinza Terminal jijini Dar es Salaam wanaiomba Manispaa ya Kinondoni kuweka utaratibu mzuri wa ugawaji wa vizimba vya kufanyia biashara katika soko hilo na kuweka mpangilio mzuri wa bidhaa.