Akutwa hai chini ya kifusi baada ya siku 6

Mwanamke mmoja ametolewa akiwa hai leo asubuhi kutoka kwenye vifusi vya jengo la ghorofa lililoanguka eneo la Huruma Jijini Nairobi, nchini Kenya baada ya siku sita kupita tangu jengo hilo kuanguka.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS