Azam FC kamili kuifuata Kagera kesho

Kikosi cha Azam FC kinatarajiwa kuondoka kesho kuelekea Shinyanga kwa ajili ya muendelezo wa mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Kagera Sugar utakaopigwa mwishoni mwa wiki hii.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS