CCBRT kusaidia huduma za mama na mtoto Muhimbili
Shirika lisilo la Kiserikali la CCBRT na hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) wamezindua ushirikiano wenye lengo la kuboresha huduma za afya ya mama na mtoto katika jiji la Dar es Salaam na kwa kuanzia CCBRT imekabidhi vifaa vyenye thamani ya 50m.