Atletico Madrid yang'ara, yatinga fainali UEFA
Klabu ya soka ya Atletico Madrid imefanikiwa kutinga fainali ya Klabu Bingwa Barani Ulaya kwa mara ya pili ndani ya kipindi cha miaka mitatu baada ya kupata bao la ugenini walipokipiga dhidi ya Bayern Munich ya Ujerumani.