MTPC wataka kituo cha polisi kiwanda cha Dangote

Kaimu RPC Mkoa wa Mtwara, George Salala,akiagana na Alhaji Dangote

Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Mtwara (MTPC) kimeungana na baadhi ya wadau wake kufanya usafi katika eneo linalotarajiwa kujengwa kituo cha polisi lililopo kijiji cha Msijute jirani na kiwanda cha Saruji cha Dangote Industries Ltd.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS