Siwezi kudate msanii, labda mtangazaji - Nyauloso Msanii Bonge la Nyau au Nyauloso amesema yeye yupo tofauti na wasanii wengine wanaotafuta kiki kupitia skendo, hususani za kuwa na mahusiano na watu maarufu. Read more about Siwezi kudate msanii, labda mtangazaji - Nyauloso