WCB haibebwi na mtu mmoja - Ricardo Msanii kutoka lebo ya Wasafi RayMond Tiptop Baada ya fununu kuzagaa juu ya msanii anayetamba kutoka lebo ya Wasafi Raymond Tip Top kuwa ndiye msanii anayeibeba lebo hiyo meneja wake Ricardo Momo amefunguka juu ya fununu hizo. Read more about WCB haibebwi na mtu mmoja - Ricardo