Taarifa za Leseni za madini sasa kwa sms Wizara ya Nishati na Madini imeendelea kurahisisha utoaji wa huduma za leseni za madini ambapo sasa wamiliki wa Leseni hizo wanaweza kupata taarifa za ada ya leseni kwa njia ya ujumbe wa simu (SMS). Read more about Taarifa za Leseni za madini sasa kwa sms