TEMESA kufanyia marekebisho Mv Magogoni
Wizara ya jenzi,Uchukuzi na Mawasiliano kupitia wakala wake wa ufundi umeme nchini Tanzania TEMESA umesimamisha huduma za kivuko cha mv Magogoni kwa muda ili kiweze kufanyiwa matengenezo makubwa kutokana na kivuko hiko kuwa na viashiria vya uchakavu