Bunge latakiwa kuisaidia serikali katika makusanyo

Ashatu Kijaji

Bunge limeombwa kuunga mkono jitihada zinazochukuliwa na serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Mhe. Dokta John Pombe Magufuli, za kuongeza ukusanyaji wa kodi utakaochangia upatikanaji wa fedha za kuendeleza miradi ya maendeleo nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS