Mechi ya Ndanda na Yanga yarudishwa nyuma ligi kuu
Mechi ya Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara kati ya Ndanda FC ya Mtwara na Young Africans umerudishwa nyuma kwa siku moja na sasa itachezwa Mei 14 mwaka huu badala ya Mei 15 kama ratiba ya awali inavyopangwa