Serikali:Tunaboresha viwanda kulinda maligafi zetu

Wizara ya viwanda na biashara imezindua mpango wa kuwawezesha wakulima wa mazao ya biashara kuacha kusafirisha maligafi ya mazao kwenda nje ya nchi ili kuweza kukuza uzalishaji wa viwanda pamoja na kuongeza soko la ajira.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS