Jamii isitegemee Serikali kukuza Soka -Kocha Shime Mashirika na watu binafsi wametakiwa kuongeza nguvu katika vituo mbalimbali vya kukuza vipaji vya soka la vijana ili kuweza kupata wachezaji bora zaidi hapo baadaye. Read more about Jamii isitegemee Serikali kukuza Soka -Kocha Shime