RT yakabidhiwa tena uwenyeji Riadha Afrika Mwakani Chama cha Riadha nchini (RT) kimekabidhiwa tena uwenyeji wa mashindano ya Riadha ya Vijana chini ya Miaka 18 ya Afrika Mashariki na Kati (EAAR) yatakayofanyika hapo mwakani. Read more about RT yakabidhiwa tena uwenyeji Riadha Afrika Mwakani