Ngassa aanza mazoezi baada ya upasuaji Mshambuliaji Mrisho Ngassa. Mchezaji nyota wa timu ya Free State Stars ya nchini Afrika Kusini, Mrisho Ngassa ameanza mazoezi ya taratibu baada ya kuanza kupona kutokana na upasuaji wa goti aliofanyiwa. Read more about Ngassa aanza mazoezi baada ya upasuaji