Azam wasema hawawabanii wachezaji wao kwenda nje.

Winga wa kimataifa wa Tanzania, Farid Mussa akiwa mazoezini katika viwanja vya klabu ya Deportivo Tenerife.

Klabu ya Azam fc imeweka wazi kuwa haijawahi na haitojaribu kuwazuia wachezaji wake wanaopata nafasi ya kutakiwa kwenda kujiunga ama kufanya majaribio katika timu yoyote nje ya nchi kwakuwa hiyo ni fursa ya maisha na maslai ya mchezaji na timu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS