Wafanyabiashara wa viazi waanza kuuza bila Lumbesa
Wakulima wa zao la viazi nchini hususani mkoani Njombe wameanza kupata unafuu wa kuuza zao la viazi pasipo ujazo wa lumbesa ambao ulionekana kuwapunja kwa muda mrefu na kuwafanya washindwe kuendelea kiuchumi.