Naamini uwezo wangu utanipa timu Hispania - Farid

Winga wa Azam FC, Farid Mussa Malik ambaye yupo nchini Hispania kwenye majaribio

Winga wa Azam FC Farid Mussa ambaye yupo Madrid nchini Hispania amesema, anaamini kiwango chake cha uchezaji kitamuwezesha kusonga mbele katika majaribio nchini humo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS