Mamia wajitokeza kuupokea mwili wa Papa Wemba Mwili wa Mwanamuziki nguli wa DRC Papa Wemba umewasili nchini mwake Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo leo kutokea Ivory Coast ambapo mauti yalimfika akiwa kazini nchini humo. Read more about Mamia wajitokeza kuupokea mwili wa Papa Wemba