Twiga Stars ikishinda kila mchezaji kulamba laki 3
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Annastazia Wambura amewataka wachezaji wa Twiga Stars kuendeleza nidhamu waliyonayo katika mazoezi ili kujiwekea nafasi ya kufanya vizuri katika mashindano mbalimbali.