Magonjwa yasiyotambulika tatizo kwa watanzania
Watanzania wengi wameonekana kutokuwa na uelewa juu ya magonjwa yasiyotambulika hali inayopelekea kuhusisha magonjwa hayo na imani za kishirikina hasa mara baada ya kuambiwa na daktari kuwa ugonjwa hauonekani na kupelekea taharuki kubwa kwa wauguzi.