Waalimu wa Serikali kupanda dalaladala bure
Umoja wa wasafirishaji abiria katika jiji la Dar es salaam umetangaza kutowatoza nauli walimu wa shule za msingi na sekondari wa shule za serikali kuanzia tarehe 7 Machi ikiwa ni jitihada za kuunga mkono kauli ya serikali ya elimu bure.