Yanga kukutana na APR hatua ya Pili Klabu Bingwa Yanga imefanikiwa kuiondoa timu ya Cercle de Joachim ya Mauritius kwa jumla ya bao 3-0 baada ya leo kuichapa kwa bao 2-0 kwenye mchezo wa marudiano uliochezwa Uwanja wa taifa jijni Dar es salaam. Read more about Yanga kukutana na APR hatua ya Pili Klabu Bingwa