Mourinho hajui kama atamrithi Van Gaal Man United Kocha wa zamani wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho amesema hajui kocha ajaye wa Manchester United, lakini anatumaini kurudi kwenye benchi la ufundi msimu ujao kama kocha. Read more about Mourinho hajui kama atamrithi Van Gaal Man United