Halmashauri zaagizwa maeneo salama kwa Wananchi
Serikali imezitaka halmashauri zote nchini kuhakikisha kuwa wananchi wote wanaishi katika maeneo salama katika kipindi hiki cha mvua ili kuwahepusha na kukumbwa na maafa pindi zinaponyesha mvua kubwa zinazosababisha mafuriko.