Yanga kupambana na JKT Mlale leo kombe la FA

Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya soka Tanzania Bara Yanga leo wanashuka dimbani kucheza mchezo wao wa hatua ya 16 bora ya Kombe la Shirikisho FA dhidi ya JKT Mlale Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS