Wanafunzi wa sheria watinga wizarani kudai mikopo
Wanafunzi 46 wa Shule ya Sheria nchini Tanzania jana wamefika katika wizara ya Katiba na Sheria kushinikizo kupatiwa mikopo kutoka bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu ili waweze kukabiliana na mahitaji pamoja na kujikimu.