Tenesi ya Walemavu yashika nafasi ya pili Kenya Timu ya Taifa ya walemavu ya Tanzania imefanya vyema michuano ya kufuzu Olympic itakayofanyika nchini Brazil, baada ya kushika nafasi ya pili huko Kenya. Read more about Tenesi ya Walemavu yashika nafasi ya pili Kenya