Wananchi washauriwa kujiunga katika vikundi
Wakazi wa kijiji cha Rubafu katika halmashauri ya wilaya ya Bukoba na mkoa wa Kagera kwa ujumla, wametakiwa kujiunga katika vikundi ili waweze kunufaika na miradi mbalimbali yenye thamani ya dola bilioni moja, inayopelekwa katika kijiji hicho kilichoko kwenye mwambao wa ziwa Victoria